Ezden The Rocka afunga ndoa na Dida Shaibu wa ‘Mitikisiko ya Pwani (picha)



Aliyekuwa mtangazaji maarufu wa kipindi cha Hip Hop cha Kiss Collabo Mix Show’ cha Kiss FM ambaye kwa sasa amehamia Times FM, Ezden Jumanne, jana amefunga ndoa na mtangazaji mwenzie Didas Shaibu maarufu sana kwenye kipindi cha Taarab, Mitikisiko ya Pwani.







Harusi hiyo imefanyika kimya kimya na kuhudhuriwa na watu wachache tu wakiwemo ndugu na jamaa. Tunawatakia maisha mema ya ndoa.
Previous Post Next Post

Popular Items