
Director Zeddy Benson kazini

Zeddy Benson akiwa na model wa Video ya Jux

Kama una kumbukumbu nzuri Jana tuliweka picha zingine za Jux wakati wa uandaaji wa video yake ya uzuri wako na Hizi ni baadhi ya picha zingine za Jux alizoweka kwenye akaunti yake ya Instagram za uchukuaji wa video hiyo.

Jux akiwa na mrembo kwenye shooting ya video hiyo