BABY J FT. BOB JUNIOR – BOMOA BOMOA …





Ni ngoma mpya kutoka kwa mwanadada Baby J ambae maskani yake ni Kisiwani Zanzibar, ambapo hadi sasa ameshafanya kazi mbali mbali na baadhi ya wasanii pia wakiwemo OffSide Trick kwenye ngoma yao ya Kidudud Mtu.
Sasa basi, Baby J ameamua kuachia ngoma yake mpya ambayo amefanya na msanii Bob Juniorkutoka Sharobaro Records na ngoma inaitwa “Bomoa Bomoa”.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hii hapa chini …





Previous Post Next Post