WATANZANIA WA NURNBERG KATIKA AFRIKA FESTIVAL NURNBERG,UJERUMANI


Watanzania waishio kwenye mji wa Nurnberg na sehemu za jirani na mji huo nchini Ujerumani,wameshiriki vyema Maonyesho ya Afrika Festival Nurnberg iliyofanyika kuanzia tarehe 13.-16. Juni 2013 mjini huo.Wageni mbali mbali walifanikiwa kutembelea Banda la Tanzania kujionea mambo mbali mbali yaliopo nchini kwetu.


Bwana Ramadhani Barungi akitoa maelezo kwa mgeni.


Pilikapilika katika Banda la Tanzania.


Wageni wakionja maandazi na chapati.


Bwana Mukada Kidawa kushoto na Bwana Erick Morro, mwenyekiti wa Watanzania Nurnberg wakipokea msaada wa vifaa vya michezo na muziki kwa ajili ya Taasisi ya Talent Search and Empowerment.
Previous Post Next Post

Popular Items