
Afande Sele The King akimfariji mama yake Albert Mangwea. Kupitia ukurasa wake wa facebook ameandika hivi "Kama mwana wa mwenzio ni mwanao,basi hata mama yake Ngwea ni mama
yangu! Pole sana Bi mkubwa."

Baadhi ya ndugu jamaa na marafiki wakiwa msibani hapo nyumbani kwao marehemu Mangwea Kihonda Morogoro

Baadhi ya watu msibani hapo wakijadiliana jambo

Huzuni kila mahali

Dully Sykes ametangulia huko kuhakikisha mambo yanaenda sawa

Wakina mama wakiwa na majonzi

Dah usiombe yakukute jamani this is so sad

Viti kwaajili ya shughuli nzima ya msiba vikiwa tayari kwa kupangwa