PREZZO ASHUKURU WALE WOTE WALIOTOA SUPPORT KWA HUDDAH BIG BROTHER, WAKATI TETESI ZA UHUSIANO WAO ZINAZIDI KUPATA MWANYA





Kupitia akaunti yake ya twitter Jackson Makini a.k.a Prezzo asubuhi ya leo ametweet “A big thanks to all who supported our rep, Huddah, in the on-going BBA game. Africa decided”. Na muda mfupi baadae aliandika tweet nyingine ya kumpogeza ” Congratulations @huddahmonroe 254 is proud of u. Regardless to ur eviction, know tht ur a STAR! God Bless”.

Siku chache kabla ya siku ya eviction (June 2) Huddah akiwa mjengoni alielezea jinsi alivyommiss mpenzi wake aliyemuacha Kenya, na marafiki wa huzuni “tears” hawakusita kuchuruzika katika pretty little face iliyokuwa na huzuni ya kummiss mpenzi huyo ambaye alimhifadhi kwenye mabano.

Huddah aliyekuwa akiongea na muwakilishi wa Africa Kusini Angelo alielezea jinsi alivyo miss mahaba ya mpenzi wake huyo, “I miss s*x with him, I miss the way that he kisses me, I miss him biting my neck, smoking some kush with me”, na surprisingly Huddah alisema yeye ndie mwanaume wa pili kufanya nae mapenzi baada ya kutolewa bikra “He is the best I have ever had man,”!

Pamoja na kwamba model huyo hakumtaja kwa jina mwanaume aliyemmiss lakini alimuelezea kwa sifa zake kuwa ni rapper na kuongeza kuwa yeye anapenda rappers, pia ameshawahi kuwa katika shindano kama alilokuwepo yeye (BBA) na alianzisha mahusiano na mtu mwingine wakiwa humo, “ he was almost in the same situation of a locked down like this sometime back, he hooked up with someone but I got mad, I felt bad, but I have understood that you can have feelings for someone in here, you can actually love someone” Alisema Huddah.

Prezzo alishiriki Big Brother Star Game mwaka jana (2012) na alifall in love na marehemu Goldie wakiwa mjengoni, mapenzi yaliyoendelea kukua hata baada ya shindano kuisha hadi mauti yalipomkuta frebruary 14, 2013, so could it be Prezzo ndie ‘dude’ ambaye Huddah alikuwa anammiss mjengoni??
Previous Post Next Post