MILLEN MAGESE AINGIA RASMI KWENYE UIGIZAJI FILAMU




Miss Tanzania 2001, Happiness Millen Magese ambaye kwa sasa anaishini jijini New York, Marekani ameamua kuongeza fani kwenye CV yake kubwa kwa kuhitimu masomo katika masuala ya uigizaji wa filamu.


Magese ambaye kabla ya kuhamia Marekani alikuwa akiishi nchini Afrika Kusini, amehitimu masomo ya filamu kwenye chuo cha New York Film Academy Ijumaa iliyopita.


“Nothing is small in education! Get Knowledge of things you wished to ever archive #follow ur dreams everyone’s journey start from somewhere so go for it! #Passion for Film/Acting continues,” aliandika kwenye Instagram.

“And my career and our careers started on Friday!congratulations to you all.#my classmates #NEw york Film Academy #i will miss you all.”
Previous Post Next Post