Picha: Wolper Gambe na Ray kuigiza mke na mume


Waigizaji waliopo orodha ya juu  kwenye tasnia ya  filamu nchini, Vincent Kigosi aka Ray na Jacqueline Wolper aka Gambe, wapo location kushoot movie mpya. Kutokana na maelezo ya picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za Instagram, inaonekana wanaigiza kama mke na mume. angalia picha hizi!
8e104596dcdd11e2ba0522000ae8030f_7
Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
302b3eb6dcd511e2b66c22000ae80d1c_7
da9642fcdcd411e2bf1522000aaa04b7_7
Ray na Wolper on set
82b2f318dd1111e2a23322000aaa04c3_7
Wolper akipitia script.
Hata hivyo jina la filamu hiyo inayoandaliwa chini ya kampuni ya Ray, RJ Company haijajulikana inaitwaje.
Previous Post Next Post