PHOTOS : CHECK SHOW LA WEUSI ILIVYOKUWA NDANI YA CLUB 71 …





Usiku wa jana ndani ya ukumbi wa disco wa Club 71 ulioko Tegeta Kibaoni ndani ya Jengo la Kibo Complex, kulikuwa na bonge la show kutoka kwa kundi la Weusi, ambapo waliokwenda kuwakilisha kundi hilo ni rapper Nikki Wa Pili pamoja na G-Nako….

Show ilikuwa ni kali sana ilihudhuriwa na watu wengi tuu.

Check baadhi ya picha za kwenye show hiyo …












Previous Post Next Post