Ndugu zake M2TheP wakiwa Muhimbili mochwari wakisubiri mwili wa Marehemu Mangwea.

Mwili wa Marehemu Ngwea ndio umewasili utalala hapa mpaka kesho

Mwili wa marehemu Mangwea ulipowasili Muhimbili
Mwili wa marehemu Mangwea ulipo wasili hospitalini hapo. Kulikuwa na msongamano sana hata kuona jeneza ilikuwa kazi

Gari iliyo beba jeneza la marehemu Mangwea ikingia mochwari

Polisi walihusika kutokana na msongamano mkubwa wa watu waliokuwa wanataka kuingia mochwari

Dokii akiongea na kaka yake mkubwa M2theP anaeitwa Pembe

Baadhi ya mashabiki wa Mangwea wakiwa nje ya mochwari kushudia mwili wake ukiingizwa humo kwaajili ya kuhifadhiwa

Wanakamati wa mazishi wakiwa nje ya mochwari wakijadiliana jambo

P Funk akipewa mkono wa pole


Mashabiki akiwa kwenye gate la mochwari

TID Mnyama akielekea mochwari kutazama mwili wa rafiki yake. Dah alilia sana


Mrisho Mpoto nae alikuwepo

Mashabiki wa Mangwea nje ya mochwari

Wanakamati wa mazishi wakielekea mochwari
Masuper star Dokii & Rasheeda Wanjara wakiwa Muhimbili
Dokii akiwa na fan wake

Hawa ni mashabiki wa Marehemu Mangwea waliotembea kutoka airport hadi hospitali ya Muhimbili huku mikono yao ikiwa juu wakiimba "kafa kazini hajafa kwa demu, mkali wa mistari, tumshusheeeee tumbebeeee."
Marehemu MANGWEA ataagwa kesho asubuhi saa mbili katika viwanja vya Leaders na baada ya hapo mwili utapelekwa Morogoro kwa ajili ya mazishi ambayo yatafanyika sku ya Alhamis.