KMA UKUBATIKA KUFIKA AU KUTAZAMA MAHALA POPOTE MAZISHI YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA, TAZAMA HAPA JINSI WATU WALIVYOITIKA WAKIONGOZWA NA M2 THE P [PICHA]



Jeneza lenye mwili wa Albert Mangweha likishushwa kaburini.
M2 THE P amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea....!!
Rafiki wa karibu wa marehemu Albert Mangweha, Mgaza Pembe 'M 2 The P' akiumuaga swahiba wake katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro.
Kabla ya kuzikwa, wananchi wa Morogoro walipata fursa ya kuuaga mwili wake kwenye uwanja wa Jamhuri.

Umati mkubwa wa wananchi ulijitokeza kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Ngwair aliyefariki nchini Afrika Kusini, wiki iliyopita. Wasanii wengi kutoka Dar es Salaam nao wamehudhuria mazishi hayo.


Hii ndio nyumba ya Milele ya kipenzi chetu Albert Mangwea, Mungu amsamehe makosa yake na  aiweke roho yake mahali pema Peponi Ameen
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA