HUENDA KANYE WEST AKAMPIGA CHINI KIM KARDASHIAN IKIWA IMEBAKIA MWEZI 1 KUPATA MTOTO WAO. . . !




Kupitia mtandao wa Mediatakeout , wamepata habari kuwa huenda Kim kardashian na Kanye West kuachana, chanzo ambacho kipo karibu na wa waiwili hao kinasema kuwa Kim and West hawana maelewaano mazuri kati yao hii nikutokana na mengi kuongelewa kwenye vyombo vya habari kuhusu wao.



Wiki iliyopita kwenye sherehe za kujiandaa ya kijacho, (mtoto wao), vitu vingi vilijitokezaa amabapo rafiki wa karibu wa West aliiambia blog ya MediaTakeOut.com, kuwa “Kanye is really trying to give Kim everything she wants. He knows how much [her show] means to her, and he loves her so much that he’s supporting her on it. But that’s not who he is.” The insider continued, “[Kanye] is not the type of [dude] who wants the cameras around everything he does, but that’s who Kim is.”


MediaTakeOut.com ilisema kuwa walipata taarifa kuwa ghafla baada ya Sherehe hiyo ya kijacho kuisha West aliamua kumuacha kim Los Angeles,. Nakutonyesha lengo la Kurudi.
Pressure kutoka kwa mapaparzai sio tatizo pekee linalomsubua kanye west. Kanye’s facing a great deal of public scrutiny over his upcoming album. Chanzo kiliambia MediaTakeOut.com, “Kanye is now in Hawaii, I think he’s working on music. But I also think it’s over for him and Kim.”
source:mediatakeout (255)
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA