HIVI NDIVYO JINSI JOSEPH KASEBA ALIVYOMCHAPA SIMWANZA WA MALAWI





Bondia Japhet Kaseba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi na Rasco Simwanza wa Malawi wakati wa mpambano wao wa Ubingwa wa Kimataifa wa PST mpambano uliofanyika Dar es salaam jana Kaseba alishinda kwa TKO ya raundi ya tano.




Bondia Japhet Kaseba akiwa amevishwa mkanda wake wa kimataifa wa PST

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA