Gosby is the man of his words!! Jana rapper huyo aliwatreat kama malkia warembo watatu aliowachagua kupitia akaunti yake ya Twitter kwenda kusikilia exclusively wimbo wake mpya ‘Baby Making Swag’ aka BMS utakaotoka kesho Ijumaa.

Warembo hao wakiwa na Gosby
Shughuli hiyo imefanyika jana usiku kwenye studio za B’Hits na kuhudhuriwa pia na wasanii wa B’Hits wakiwemo Deddy na M-Rap pamoja na producer Pancho Latino.

Gosby, Pancho na Edwin wa Times FM

Wasichana hao watatu wakiwa na Gosby, Pancho na M-Rap

Pancho, M-Rap na Deddy


Pancho, M-Rap na Deddy

Popping them champaigne

Gosby na mmoja wa warembo hao wakiburudika na champaigne

Warembo watatu waliopata nafasi kusikiliza BMS

Warembo watatu waliopata nafasi kusikiliza BMS



Hapa Gosby akibonga jambo wasichana hao