Drake Ashusha Mashine Mpya "Bugatti Veyron" Na ni Expensive Thing of the Day


Drake anunua mchuma mpya na wa gharama aina ya Buggatti alioanza kuonekana nayo ahamisi iliyopita huko kwao Canada.
drake bugatti
Siku ya alhamisi (June 6) iliyopita Drizzy aliweka picha ya gari yake mpya na ya gharama Bugatti Veyron nyeusi ya kung’aa ambayo inakadiriwa kuwa ya kiasi cha $ 2 Million na kuandika caption “It’s levels to thi…never mind. #SangNoir#ShouldHaveBeenASoccerPlayer #EuroLifestyle #CreamsicleGuts”


Previous Post Next Post