DonJazzy wa Nigeria athibitisha hili ni moja kati ya magari yake.




Don Jazzy, Jay Z na Kanye West


Katika maswali aliyokua akiulizwa na mashabiki wake twitter, Don Jazzy ambae ndio producer aliemtoa staa D’Banj amethibitisha kumiliki hiyo Porsche Carrera Gts hapo juu.

.
Previous Post Next Post