CHATI ZA MWISHO ZA MAREHEMU NGWEA NA WEMA SEPETU HIZI HAPA. . .



Moja ya chat za mwisho mwisho za marehemu Albert Mangwea na mwanadada Wema Sepetu. angalia hapa.



Katika upekuzi wetu leo hii tuliweza kupata moja ya chat za mwisho mwisho ya marehemu Albert Mangwea akiwa afrika ya kusini na mwanadada wa bongo movies Wema sepetu. Katika maongezi hayo Ngwea alikuwa anapanga Kumtumia mwadadada mwingine wa bongo movies Kajala Masanja kwenye video yake mpya aliyokuwa anajiandaa kuifanya. Maongezi yao yalikuwa hivi.
Mangwea : kuku bandani..
Mangwea : Nataka Kajala…
Mangwea : Sikiza nyimbo then utanipa idea..
Mangwea : Nataka tukipiga hela kwa bro…
Mangwea : Tulipe na hela ya ticket ya Jux aje toka China tumalize huku kusini
Mangwea : #hugs
Wema Sepetu : Upo api?
Mangwea: Me nipo Pretoria now momo…
(Angalia screen shot ya maongezi hayo pichani)
Dah, inasikitisha sana. Maisha ya Msanii huyu yaliyokatika mapema. Mungu ailaze roho marehemu mahali pema peponi.
Previous Post Next Post

Popular Items