WAREMBO WA REDD'S MISS KIGAMBONI 2013 WAJIANDAA





Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Kigamboni wakiwa kwenye mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na kinyang'anyiro hicho kitakachofanyika Ijumaa Juni 7 mwaka huu kwenye ukumbi wa Navy Beach ulioko Kigamboni jijini Dar es salaam. 

Previous Post Next Post

Popular Items

TIGO YAPOKEA TUZO YA UCHANGIAJI DAMU

YALIYOJIRI LEO MAGAZETINI IJUMAA

NGONGO INASABABISHA SARATANI YA KIZAZI