VIDEO; LINEX AKIWA STUDIO AKIREKODI NYIMBO YAKE MPYA YA 'RIZIKI YANGU'


Wimbo mpya wa ‘mkigomakigoma’ Linex Sunday Mjeda una kila dalili za kufanya vizuri kutokana na viashirio kadhaa. Kwanza utamu wa wimbo wenyewe, ushirikiano wa Linex na ‘The love child’ Wyre kutoka Kenya uliokuwa ndoto yake ya muda mrefu, na of-course sababu nyingine ni kuwa Linex ni mkali. Nadhani utafurahi kupata nafasi ya kumuona Linenga alipokuwa anaurecord wimbo huo chini ya producer Mswaki..Tazama video ndani
Previous Post Next Post

Popular Items