VANESSA MDEE NA NANCY SUMARI KWENYE 'WORLD ECONOMIC FORUM' AFRICA KUSINI [PICHA 3]



Nancy Sumari, Vanessa Mdee na mbunifu wa mavazi Eskado Bird ni miongoni mwa watanzania wanaohudhuria mkutano wa World Economic Forum nchini Afrika Kusini.





Nancy akiwa Barbara Bush, (mtoto wa rais wa zamani wa Marekani George Bush


Vanessa Mdee na Nancy Sumari wakiwa na Rais Jakaya Kikwete nchini Afrika Kusini




Vanessa Mdee (wa mwisho kulia) akijiandaa kuwasilisha mada
Previous Post Next Post