USIKU WA KUMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX




Show kali itakayofanyika maisha club siku ya tarehe 19/May siku ya jumapili kwa kingilio cha Tsh 8000/=.

Kikosi kizima cha Weusi kitausika katika kumtoa mama yeyoo nje ya box.

Wasanii wengine kama Ben Pol, Barnaba, Damian na Peter Msechu pia watatoa burudani kali.

Pata ticket yako sasa na ushuhudie Weusi wakifanya live band show.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAUKIMBIA MKUTANO WA SALMA KIKWETE

Picha: Huyu ndiye mpenzi mpya wa Prezzo!