BEYONCE AANDIKA BARUA YA MKONO KWA MARA YA KWANZA YA KUOMBA RADHI FANS WAKE KWA KUAIRISHA SHOO KWA MARA YA KWANZA KTK MAISHA YAKE




BEYONCE amelazimika kuandika barua kwa mkono kuwaomba radhi mashabiki wake Ubelgiji baada ya kuahirisha show yake ya juzi.


Muimbaji huyo aliahirisha show yake ya Antwerp iliyo sehemu ya ziara yake ya dunia ya Mrs Carter kutokana na uchovu na kupungikiwa maji hali iliyokuza tetesi za kuwa ni mjamzito tena.

Queen Bey alipost picha hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na website yake akiomba radhi.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA