UKATILI WA NAMNA HII NI DHAMBI KUBWA KWA WANAOFANYA UNYAMA KAMA HUU NA WANASTAHILI ADHABU KALI [FACT WITH BONGO 61]



Jana nilipita mabibo nikakuta watu kadhaa wamekusanyika  wakiwa katika mshangao wakishangaa kichanga kilichotelekezwa maeneo hayo kama jinsi unavyoona pichani hapo juu.
Hali hii ilimsikitisha kila mtu aliyefika mahala hapo na kulaani kitendo alichokifanya mama mzazi wa mtoto uyo ingawa akujulikana mpaka mimi naondoka eneo la tukio sikuweza kupata taarifa zozote zinazomuhusu mama wa mtoto uyo na kukamatwa kwake

Vitendo kama ivi vimekuwa vikiwaumiza watu wengi hasa wenye matatizo ya kukosa watoto na hata wale wenye watoto

"BONGO 61 Editor analaani vikali kwa wale wote wanaofanya vitendo vya kikatili kama hivi, sheria inapaswa kuchukua mkondo wake!"
Previous Post Next Post

Popular Items