UJENZI WA VITUO VYA MABASI YAENDAYO HARAKA WAENDELEA DAR





 Vitavyokuwa vituo vya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es salaam vimeanza kumea katika barabara ya Morogoro road. Juu ni Mwembechai na chini ni Magomeni Usalama. Kasi ya ujenzi wa barabara hiyo imeendelea katika muda wote huu toka ianze mwishoni mwa mwaka jana

Previous Post Next Post