TID APATA SHOW YA UINGEREZA SIKU ZA TUZO ZA KILI MUSIC! JAGUAR ATAAMBATANA NAYE KATIKA PERFORMANCE




TID hatokuwa na usiku mbaya June 8 wakati tuzo za Kili zitakapokuwa zikitolewa kwakuwa atakuwa mbali akipiga show ya kimataifa na hitmaker wa Kigeugeu, Jaguar wa nchini Kenya.


Hivi karibuni TID aliwalalamikia waandaji wa tuzo za Kili kwa kutoujumuisha wimbo wake kwenye tuzo za mwaka huu. Pia wiki iliyopita, alitangaza kujitoa kwenye list ya wasanii watakaomsindikiza Lady Jaydee kwenye show yake ya May 31.
Previous Post Next Post