Hii ni familia ya Kardashian ambayo wamepiga picha hii kwaajili ya promo ya season 8 ya reality show ya wana familia hao “Keeping Up with The Kardashian’s”. Pichani yupo Kim Kardashian (wa katikati mstari wa kwanza) pamoja na dada zake ambao wamepewa company na wapenzi wao.
![](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/05/Kardashians.jpg)
Unafikiria Kanye West alitakiwa kuwepo pia katika picha hii kumpa company mama kijacho na Mpenzi wake Kim Kardashian??.