TERRY KUUNGANA NA DROGBA GALATASARAY





John Terry



KLABU ya Galatasaray ina mpango wa kumsajili beki wa John Terry kwa mkataba wa miaka mitatu, ikimpa mshahara wa Pauni 200,000 kwa wiki.




Klabu hiyo ya Uturuki inayotumia fedha nyingi katika usajili, ambayo iliwasajili Didier Drogba na Wesley Sneijder Januari, inaamini inaweza kumshawishi Nahodha huyo wa Chelsea mwenye umri wa miaka 32 kumaliza mapenzi yake na Stamford Bridge baada ya miaka 14 ya mafanikio. Chanzo: sportmail






Drogba
















Drogba

Previous Post Next Post