RAISI OBAMA NA MASTAA WENGINE WA MUZIKI MAREKANI WATOA SALA KWA OKLAHOMA ALIYOKUMBWA NA KIMBUNGA




Tukio hilo limewagusa watu wengi wakiwemo mastaa mbalimbali, ambao wametumia nafasi zao kuwaombea na kuwafariji waathirika wa kimbunga hicho.

Kupitia mtandao wa twitter Rais wa Marekani Barrack Obama pamoja na baadhi ya mastaa wakiwemo Alicia Keys, Rihanna, Katy Perry, Chris Brown na wengine wamechukua jukumu la kuwafariji na kuwaombea wote walioathirika.






Previous Post Next Post