REDIO YA WATANZANIA YAANZISHWA NCHINI MAREKANI NA WATANZANIA INAITWA GENN


Watanzania wawili waishio nchini Marekani, wameanzisha radio na kampuni ya habari iitwayo Global Entertainment and News Network, GENN.
4
Radio ya GENN inasikika kwenye majimbo ya Kansas, Connecticut na New York na pia wanasikika online.
Akiongea, CEO wa kampuni hiyo Agak John aliyepo Kansas, Marekani amesema, “this is new radio ndio tumeanzisha mi ndo CEO tupo hewani on FM in US few States na ustrean tuna website under work ko-bricks ent imeshafanya kazi kwa muda kidogo tuna establish hapa kidogo tunataka iwe full TV ,radio media network ya TZ, tuna wadhamini tayari sasa tunataka support yenu watanzania tunakuja.”
2
3
“Nipo ubia mtanzania mwenzangu wa Kansas jina ni Robert Otto kutoka Keko, tunafanya mambo hapa.”
Isikilize live GENN hapa.
Previous Post Next Post