KWA MARA NYINGINE,BILL GATE NDIYE TAJIRI NAMBA MOJA DUNIANI




Baada ya kuwekwa benchi since 
2007 kama tajiri namba moja duniani,Founder wa Microsoft corporation
Bill Gates amerudi tena kwenye namba yake,namba iliyokuwa ikishikiliwa na billionea wa Mexico,Carllos Slim
Kwa mujibu wa Bloomberg Billionaires Index,mabadiriko haya yamekuja baada ya utajiri wa Gates kuongezeka kwa asilimia 16% na Carllos kushuka kwa 14%
kwa sasa Gates atakuwa akiongoza matajiri wa dunia kwa utajiri wa $72.7billion.

 
 Carllos Slim
Previous Post Next Post