JK ATUA MBEYA KUONGOZA SHEREHE ZA MEI MOSI LEO




Maelfu ya Wakazi wa Mji wa Mbeya wakisalimiana kwa shauku na Rais Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mjini Mbeya tayari kuongoza sherehe za Mei mosi zinazofanyika mkoani humo leo. Picha na Freddy Maro
Previous Post Next Post

Popular Items

Kenya katika hatari ya kupata Ebola

Picha: Soggy Doggy Aongeza Familia