HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KWENYE USIKU WA MAKOMANDOO BILCANAS [PICHA]




Wakali wakulishambulia jukwaa Bongo, Makomando jana walifanya bonge la show Club Billcanas wakati wakitambulisha video ya ya wimbo wao mpya, Ugonjwa wa Moyo.Makomando walisindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Queen Darleen na Asia.


MAKOMANDOO ON STAGE



Asia nae alikuwepo kuwapa Mtoto wa Mjini





K.Star nae alisababisha vya kutosha




Queen darleen nae alisababisha na Maneno maneo



Wacha weee













Abdu kiba alipagawisha warembo kwelikweli






Tunda Mana akiwapa Starehe galama















Makomando wakifanya yao hapo utawataka












We hapo palikuwa hapotoshi Nyamwela na Muki alikuwa akiwapa naye Ngoma yake Mpya

Nyamwela nae alikuwepo na Muki wakitawala jukwaa







Ndani ya Suti Makomando utawataka

Makomando katika Pozi

Wadanandana ndo walikuwa wakiongoza show

MMhhh!!Amini hapo akiwa na Dada zake wa THT

Watu Full Kupendeza



Lady Queen nae alipiga Showa safi sana
Previous Post Next Post