HEMED AELEZA SABABU ZA KUFANYIWA FUJO NA MWANAMKE WA KIZUNGU CLUB BILLCANAZ

25f4a802b0b511e28d1322000a1fb079_7


Pamoja na kufanya show ya uzinduzi wa ngoma yake Rest of My Life, uliofanikiwa, Hemedy Suleiman alijikuta kwenye wakati mgumu jana Jumapili baada ya mwanamke mmoja wa kizungu kutaka kumfanyia fujo chini ya stage.


Hemedy amesema mwanamke huyo ambaye Hemedy anasema alikuwa kama ‘hater’ tu alianza kumrushia maneno ya kejeli wakati akiwa stejini kitendo kilichomfanya Hemedy ampulizie spray usoni. Msikilize zaidi hapa.

Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA