.Mkuu wa Kitivo cha Elimu wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk Kitila Mkumbo (kulia) akifafanua jambo mbele ya Maofisa mbalimbali wa Vodacom Foundation muda mfupi baada ya Kampuni ya Vodacom kupitia Mfuko wake wa Kusaidia Jamii kutoa msaada wa Kompyuta 20 zenye thamani ya zaidi ya sh milioni 25 kwa leongo la kustawisha matumizi ya Tehama shuleni hapo eneo la Chang'ombe Dar es Salaam.
Dar es Salaam University College of Education (DUCE) Principal, Prof. David Mfinanga, receives a donation of 25 computers from Head of Vodacom Foundation, Yessaya Mwakifulefule yesterday. The computers are worth Ths25 million and are aimed at enhancing technological developments in the school. Looking on is Laura Turkington, Vodafone Foundation Director, India.
Mwanafunzi wa mwaka wa pili wa Shule ya Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitivo cha Sayansi na Hisabati, Anna Daniel, akitumia moja ya Kompyuta zilizotolewa kama msaada na Vodacom Foundation shuleni hapo Dar es Salaam jana, kushoto wanaomtazama ni Maofisa wa Vodacom Foundation.