CCM YAFUNIKA MKUTANO WA LUDEWA,NJOMBE




Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika mkutano wa hadhara wa CCM, kwenye Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoni Njombe, Kinana ambaye yupo katika ziara ya siku saba, kukagua utekelezaji wa ilani ya chama na kuzungumza na wananchi mkoani Njombe, amefuatana na Katiobu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.


Baadhi ya maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika katika Uwanja wa mpira mjini Ludewa mkoani Njombe.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA