UGONJWA WAMSABABISHIA MTOTO KUVIMBA KICHWA KAMA PULIZO [PICHA 2]



Mtoto mwenye miezi 18 huko nchini India ameugua ugonjwa nadra unaomfanya avimbe kichwa mara tatu zaidi ya ukubwa wa kawaida.

Mtoto Roona Begum, wa Agartala, kaskazini mashariki mwa India ana ugonjwa uitwa hydrocephalus unaosababisha kujaa maji kwenye fuvu lake.



Ugonjwa huo unatibika ambapo maji hayo hunyonywa lakini baba wa mtoto huyo Abdul Rahman, hawezi kumudu gharama za matibabu.
Previous Post Next Post

Popular Items