TANZANIA YAWASILISHA MPANGO WA MABORESHO YA MAENDELEO KWA BENKI YA DUNIA


Ujumbe wa Tanzania ukuiwasilisha mpango wa maboresho ya maendeleo kwa Benki ya Dunia. Mpango huo unahusu maendeo katika maeneo ya Elimu, Maji, Nishati, Rasilimali Fedha, Kilimo na Usafirishaji.
Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile pamoja na Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dr. Philip Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho katika Elimu, Maji, Nishati, Usafirishaji, Rasilimali Fedha na Kilimo.
Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia katikati akifafanua jambo wakati wa majadiliano, kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier akifafanua jambo katika majadiliano hayo.
Ujumbe kutoka Benki ya Dunia wakifuatilia kwa makini wakati Dr. Mpango akiwasilisha mpango wa maboresho hayo.
Kutoka kulia ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Dr.Mpango akijibu hoja mara baada ya kuwasilisha mpango wa maboresho. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dr. Silvacius Likwelile na Kaimu Balozi Ubalozi wa Tanzania Washington DC Bibi Lily Munanka.
Previous Post Next Post