T-PAIN ANYOA RASTA ZAKE




T pain akinyolewa rasta zake
Hapa akionekana tayari amekwishanyoa Rasta zake


Msanii wa miondoko ya r&b na Hip-Hop T-Pain ameamua kutoka na mwonekano mpya kabisa ambapo amenyoa rasta ndefu alizokuwa nazo ambazo zilikuwa moja ya alama za utambulisho wake .

T-Pain hajatoa sababu za kuamua kunyoa rasta na alionekana kwa mara ya kwanza akiwa bila rasta hizo kwenye uzinduzi wa asasi ya misaada inayoongozwa na mama mzazi wa msanii huyo.

Je unahisi amependeza akiwa na nywele fupi au zile dreadlocks ndio zikikuwa zinamtoa ?

KUMBUKA KUACHA COMMENT HAPA CHINI
Previous Post Next Post