SIKU YA AFYA NA USALAMA DUNIANI ILIVYOKUWA JIJINI ARUSHA JANA




 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama vifaa vya uokoanji katika banda lamaonyesho ya kuadhimisha  siku ya Afya na Usalama Duniani kwenye  uwanaja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha leo
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama onyesho la uokoaji kutoka mwokoaji wa mgodi  wa North Mara Gold Mine katika maonyesho ya kuadhimisha  Siku ya Afya na Usalama Duniani yaliyofanyiaka kwenye uwanaj wa Shikh Amri Abeid jijini Arusha leo
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea Tuzo ya Utoaji huduma bora ya   Afya na Usalama kazini kwa niaba ya  Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutoka kw Waziri wa Kazi na Ajira, Gaundentia Kabaka katika Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Afya na Usalama Duaniani kwenye uwanja wa Shikh Amri Abeid , Arusha leo
 .Naibu waziri wa Kazi na Ajira Mh.Dr. Makongoro Mahanga akiongoza maadamano ya wafanyakazi kuelekea Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,akiwa amefuatana na Dr.Akwilina Kayumba, Mtendaji Mkuu wa OSHA, pamoja na waandamanaji

Baadhi ya waandamaji wakielekea uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha kuadhimisha siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi duniani April 28,2013.Picha na Afisa Uhusiano-Wakala wa  Usalama na Afya  Mahali Pa kazi (OSHA)
Previous Post Next Post