SAUTI SOL WAACHIA ‘STILL THE ONE’

sauti sol

Kundi maarufu la muziki nchini Kenya ambao wamekuwa na ziara mbalimbali za matamasha ya muziki kimataifa hivi sasa wamedondosha kibao kipya ambacho wamekibatiza jina ‘Still the One’.
Muda mfupi baada ya wasanii hao kuachia tu kibao hicho mashabiki lukuki kupitia mtandao wameonyesha kukikubali sana kiasi cha kupata watazamaji wengi mtandaoni.



    Previous Post Next Post