PICHA: HUU NDO UNYAMA WALIOTENDEWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA

Picha ya marehemu Henry Koga baada ya kuchomwa kisu na kufariki hapo hapo jana usiku katika chuo cha uhasibu Arusha.....


Mwanafunzi huyo Alikuwa Masomoni Mida Ya Usiku Na Alipomaliza Aliondoka Na Kuelekea Maeneo Ya Esami. Kabla Hajafika Eneo La Malazi (Hostel) alipigiwa Simu na Mwenzake amsubiri Ili Waende Wote Hostel. 

 
 Marehemu Henry katika enzi za uhai wake....



Wakati anamsubiri Rafiki Yake Kwenda Hostel, Kuna Bajaj Ilifika Eneo Hilo Na Watu Hao Wasiojulikana Wakataka Pesa Kutoka Kwa Mwanafunzi Huyo...Wakati wakiendelea kuzozana, rafiki yake naye alifika.....

Majibu Ya Wanafunzi Hao Hayakuwafurahisha Watu Hao Na Ndio Walipochomoa Kisu Na Kumchoma Mmoja wa Vijana Hao Tumboni Na Shingoni na Kupoteza Maisha Hapo Hapo....

Mauaji hayo yamesababisha vurugu kubwa chuoni hapo zilizopelekea kupigwa mawe mkuu wa mkoa

Tunaomba radhi kwa picha ya kwanza kwa jinsi inavyoonekana.
Previous Post Next Post