PICHA 11 ZA MREMBO TOKA KENYA ALIYEUZA KWENYE VIDEO YA P.UNIT INAYOITWA YOU GOT!






.

Utafiti uliofanywa kutazama ni mrembo gani video Queen wa Kenya alieandikwa sana kwenye internet toka video mpya ya P Unit ya You Guy itoke, umeonyesha kwamba model huyu aliecheza kwenye hiyo video Vera Sidika a.k.a Vee Beiby ndio ameandikwa sana kwa zaidi ya stori 120 kwenye Mtandaoni.

 siku chache tu baada ya hiyo video kutoka, taarifa zilisambaa kutoka Kenya kwamba video hiyo imefungiwa kurushwa kwenye kituo cha Citizen Tv kutokana na ukali wa picha, hasa za huyu mrembo.


.

.

.

.


.

.

.

.

.

.
Previous Post Next Post