MAPOKEZI YA MSANII DIAMOND MJINI BUKOBA



  Mapokezi ya msanii Diamond ndani ya Manispaa ya Mji wa Bukoba

 

Diamond ''''Kwanza kabisa ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kabisa kwa Mwenyezi Mungu kwa siku ya Juzi....Tarehe 30 march niliwasili salama salimini mjini bukoba Mkoani Kagera....Pili niwashukuru Mashabiki zangu wote Mkoani Humu kwa kunipokea kwa hali na mali ,Hii inaonyesha jinsi gani watanzania wanathamini na wana mapenzi na wasanii wao.....!! Nililazimika kutoka Juu ya Gari kuwasalimu kabla sijaelekea hotelini.... Nilivotokeza hali ilizidi kuwa mbaya zaidi....Polisi walilazimika kufunga barabara kadhaa mjini bukoba na hata kazi zingine kusimama kwa muda kutokana na watu kuzingira Gari nilokuwepo kila kona nilipokuwa pita..... Zifuatazo ni Picha Jinsi wananchi walivyojitokeza kunilaki kama mfalme mjini Bukoba....!!






Previous Post Next Post