LADY JAY DEE KUFANYA TUKIO KUBWA KATIKA KUTIMIZA MIAKA 13 YA KIMUZIKI

Kukaa miaka 13 kwenye muziki na ukaendelea kuzungumzwa midomoni mwa watu si jambo rahisi na kwa namna yoyote linapaswa kusherehekewa.


“Wapenzi na mashabiki wa LADY JAYDEE hii ni kwaajili yenu, tarehe, muda na sehemu mtapatiwa taarifa siku si nyingi.. Tunahitaji support yenu itakuwa ni zaidi ya ileeeeeee ya miaka 10 ya JIDE..Hutakiwi kuikosa, iweke akilini na ujiweke tayari,” ameandika Lady Jaydee.

Miaka 13 ya Lady Jaydee kwenye muziki hakuna shaka itakuwa bonge moja la concert.
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA