KALA JEREMIAH KUZINDUA ALBAMU YAKE YA ‘PASAKA’ JIJINI MWANZA





Msanii wa Hip Hop nchini, Kala Jeremiah leo ana fly kwenda home kwao Mwanza kwa ajili ya kufanya uzinduzi wa albamu yake ya kwanza inayojulikana kwa jina la ‘Pasaka’.
Albam ya Kala Jeremiah ina nyimbo 23, ameelezea kuwa licha ya kufanya uzinduzi huo nyumbani kwao Mwanza dhumuni la kufanya tamasha hilo ni kuhakikisha muziki wa Hip Hop wa hapa nchini unakuwa wa kimataifa zaidi.
Kala J’ amekuwa nominated kwenye tuzo za KTMA mwaka huu category ya msanii bora wa hiphop ikiwa ni mara yake ya kwanza.
Previous Post Next Post