MASHABIKI WANAINGIJEA KWA HAMU KOLABO YA NAAZIZI & BEBE COOL



bebe cool
Wakali wa muziki Afrika Mashariki, Bebe Cool, Nazizi pamoja na Wyre kwa sasa wanasubiriwa kwa hamu na maelfu ya mashabiki wao kutoka nchi zote za Afrika Mashariki, kutimiza ahadi yao ya kufanya kitu cha pamoja.
naazizi
Nazizi amesema kuwa, tayari wameanza kufanya kazi kwa pamoja na wana kazi kadhaa ambazo zimo mbioni kutoka hivi karibuni.
Gonga continue reading kuendelea..

Vilevile kwa sasa, kama moja ya jitihada za kurudisha ladha za kundi la Necesary Noise, Album ya Nazizi pamoja na Wyre ipo katika michakato kupitia Love Child Records na hivi karibuni itatoka na kutikisa mitaa kutokana na nguvu kubwa na ujuzi ambao umewekezwa ndani yake.
    Previous Post Next Post