2 CHAINS ASALIMIKA



2chainz
Rapa 2 Chains hatimaye ameponea chupuchupu hukumu ya faini na kifungo baada kutopatwa na hatia katika ya shtaka lake la kukamatwa na kilevi aina ya bangi enye uzito usiozidi gram 10.

Jaji aliyekuwa anaendesha kesi hii, William H Adkins III ameonelea kuwa 2 chains hana hatia hasa baada ya ushahidi ambao uliwasilisha kutokujitosheleza.
Gonga continue reading kuendelea..

Kwa sasa rapa huyu anashughulikiwa albam yake mpya wakati Afrika ikisubiria ujio wake mkubwa huko nchini Naijeria katika birthday ya msanii D Banj tarehe 9 mwezi June.
Previous Post Next Post