HIT MAKER D’BANJ AGAIN AMEACHIA KITU KIPYA

dbanj
Mkali wa kibao maarufu cha Oliver Twist D’Banj wa Nigeria ameamua kuwa mwaka huu ni wake kwa kutoa zawadi nyingine kali ya kibao kipya alichokibatiza jina ‘Why You Love Me’.
Kutoka kwenye label mpya ya DB Records ikiwa ni collaboration album waliyoipa jina “DKM”, D’ Kings Men, hivi sasa wametoa trak hiyo mpya ambayo D’Banj amefanya yake huku mpango mzima wa kichupa kikiwa njiani kutoklezea hivi karibuni.
Previous Post Next Post