HILI NDIO GARI JIPYA LA 50 CENT, LIMETENGENEZWA MAALUM KWA AJILI YAKE TU

.

Bado akiwa kwenye headlines za wanaHiphop matajiri duniani, 50 Cent ameingia kwenye vichwa vya habari tena baada kuwa mmiliki wa hili gari la kipekee lililotengenezwa kwa ajili yake tu.

Ni show mpya ndani ya SyFy channel ambayo inaitwa “Dream Machines” ambayo imetengeneza hili gari.

.

.

.

.
.

Previous Post Next Post