
Rais wa Bendi ya FM Academia, Nyosh El-Sadat (watatu kulia) akiwa pamoja na vimwana wa bendi hiyo wakitoa burudani wakati wa utambulisho wa kinywaji kipya cha Beer and Wines Spirit kupitia kampuini ya Mabibo Beer and Wines Spirit
Wadau mbalimbali wakiwa na kinywaji cha Windhoek kinachosambazwa na Kampuni ya  Mabibo Beer and Wines Spirit wakati wa utambulisho wa kinywaji hicho kwenye  Ukumbi wa New Msasani Club,jijiji Dar es salaamambapo ulienda sambamba na utambulisho wa nyimbo tatu mpya za Bendi ya FM Academia kwa udhamini wa kampuni hiyo
 Vimwana wa na wanenguaji wa kiume wa bendi hiyo wakionyesha umahiri kwenye ukumbi wa New Msasani Club,jijiji Dar es salaam
Wadau mbalimbali wa bendi hiyo wakipata kinywaji cha Windhoek wakati wa onnesho hilo jana usiku
Ni wakati wa kuonyesha umahiri wa kucheza
Ni wakati wa kuonyesha umahiri wa kucheza
Wadau wakipata kinywaji cha Windhoek
Huyu naye alitia fora na vazi lake stejini
Wapenzi wa muziki wa Bendi hiyo wakiwa wamejimwaga kuserebuka  na nyimbo mpya  ya bendi hiyo inayo dhaminiwa na  Kampuni ya Mabibo Beer and Wines Spirit kupitia kinywa cha Windhoek